MISINGI YA IMANI
Utangulizi : Fundisho
hili msingi wa imani lili fundishwa kwa
lengo la kuimalisha washirika
wapya kwenye masomo ya misingi na mafundisho haya maalumu ya msingi
yameweza kugawangwa katika vipengele sita na kufundishwa kwa wazi kabisa kama
ifuatavyo.
Biblia ni neno la Mungu.
Hapa Biblia ilielezwa
wazi kuwa Biblia maana yake ni kitabu na inavitabu sitini na sita vilivyo
andikwa kama Barua ,Historia,Masimulizi,Mashairi,Tenzi na Matukio ya mwisho
yote hayo yakiwa na maudhui ya nayo fanana. Na Mungu alihariri kitabu hiki kwa
zaidi ya miaka1500-1400.kabla ya kristo hadi
mwaka wa 100 B.K na waandishi wake ni arobaini 40, wamo Wachungaji wakuki Mashujaawa vita
,Makasisi,Manabii,Wafalme ,Madaktari wan tiba ,wasomi na wahudumu .Kila kizazi
,Kila utamaduni taifa na kila kabila laweza kupona kwa hiyo tumethibitisha kuwa
Biblia ni neon la Mungu tungika kwa maana. Biblia ili vuviwa na Mungu .Biblia ndiiyo kanuni na mwongozo wetu wa
maisha ,Biblia ni kitabu cha mawazo ya Mungu hukupatia yote unayohitaji kwa
maisha ya kiroho na maendeleo ya mkristo ( 2petro 1:20-21 isaya 55:7-11, 1petro
2:2 . Mathayo 4:4,
Utatu Mungu mmoja aliye
aliyejidhihirisha katka nafasi tau. Biblea imeeleza kuwa Mungu tunaye mwamini
sisi wakristo ni mmoja aliye jidhihirish katika nafsi tatu kumb 6:4, Mwanzo
1:26 wakati wa uumbaji alisema natufanye. (Mwanzo 1:26), Mungu amejitaja katika
wingi (mwanzo 11:6-7) utatu una maanisha (mathayo 28:19) (a) Mungu Baba (b)
Mungu mwana, (1) Mungu Roho mtakatifu na biblia inataja kuwa hao wote watatu ni
Mungu. Yohana 1:1, 14 Y esu ni Mungu (2) Roho mtakatifu ni mungu
Mdo 5:3-4)
Uungu wa Yesu. hapa biblia imeeleza kuwa
yesu alikuwepo kabla ya kuzaliwa na Bikira mariamu. Mith 30:4 Baba yake Yesu ni
Mungu na Yesu ni zaidi ya mtu mwema. Nabii na Yesu Mwenyewe ni Mungu. Maana
alijiita niko Yohana 8:57-58 kwa hiyo kiini cha ukristo ni Uungu wa yesu. Utume
wa Yesu.
Utume wa Yesu alikuja ulimwenguni kwa vile
mwanadamu alitengwa na Mungu kwa sababu ya kuanguka katika dhambi kama wanadamu hatuna uwezo wowote
wakujikomboa wenyewe kwa hiyo ukristo ni pale Mungu anapo wafikia wanadamu chini kwa hiyo Mungu ana jitambulisha pamoja
na wanadamu Kwahiyo Yesu alikuja Duniani kutoa uhai wake kama dhabihu kwa
wanadamu . Ilikutuleta kwa Mungu 1kor 15:21-22) Wokovu kwa neema kwa njia ya
Imani Mungu, Jehanamu na kurudi kwa kristo, Yesu hutoa wokovu kwa neema kwa
njia ya imani Efeso 2:8-9.
Lazima tuupokee wokovu
bure kwa kufanya Toba. Toba hutangulia imani
(Makro 1:15 Toba ni msamaha wa dhambi (matendo 2:36-38 kwa hiyo toba
ni mabadiliko ya moyoni yanayo tokeza
mabadiliko ya nje na tabia kwa hiyo kila mtu anayezaliwa ,mara ya pili
hufanyika mshirika wa kanisa la kristo liitwalo mwili wa kristo Mbingu na
jehanamu .
Jehanamu ni sehemu ya moto na mateso jehanamu
ilitayarishwa kwa ajili ya ibilisi na malaika zake na sio wafu na wale
wanaomkataa kristo Yesu kipawa chake cha bure cha wokovu wataenda jehanamu .Na
hakuna anae weza kutoroka jehanamu baada ya kufika huko na haiwezekani
kubadilimawazo baada ya kufa na jehanamu ni sehemu inayo inayo tunza moto
(ziwala moto) Mbingu inawasubiri wale watakao kuwa wamempokea Yesu Moyoni mwao.
Kurudi kwa Yesu , Biblia inaeleza kurudi kwa Yesu kutawala na
Mungu mwisho atajenga mbingu mpya na nchi mpya , uf 21:1,10-11
luka
16:22-26 Roho mtakatifu ni nafsi Yohana
14:15-18 Yesu alitoa ahadi kumtuma Roho mtakatifu iliawe nasi na kufanya kazi ya kristo .
Ubatizo wa Roho mtakatifu
mtakatifu ni tukio linalo linalo fuata wokovu na linalo patikana kwa
kila mtoto wa Mungu .Aina mbili za ujuzi wa Roho mtakatifu alizo fundisha Yesu (1).
Ubatizo yohana 4:13-14 (2) Ubatizo wa
Roho mtakatifu yohana 7:37-39) Uponyaji
wa kiungu: Mungu anajifunua kwa watu
wake kama mponyaji kutoka 15:23-26) Jehova Rapha .Ni bwana atuponyae
Mungu huponya mwili pamoja na nafsi msamaha –Roho ,Mwili =Mgonjwa ,Uponyaji sehemu
ya kazi ya Ukombozi wa kristo manabii
walitabili uponyaji huu wa kimwili na kiroho .Isaya 53:1-5
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni